RAPA BILLNAS AMKINGIA KIFUA TID ASEMA HAJAWAHI KUMUONA AKITUMIA MADAWA YA KULEVYA
Rapa
Billnas kutokea Lebo ya Radar Entertainment inayomilikiwa na msanii wa
Bongo Flava TID, amesema kuwa hajawahi kumuona TID akitumia Madawa ya
Kulevya kama maneno yanavyoongelewa mitaani.
Akiongea katika kipindi cha The
playlist cha Times Fm Jumamosi iliyopita, Rapa huyo ameshangazwa na
maneno hayo ambayo amedai hajui yanatokea wapi.
“Sijui haya maneno yanatokea watu,
ni vitu ambavyo watu wanatumia kwa siri sana ila mimi sijawahi kumuona
TID akitumia, na tunasafiri kila kwenda sehemu kibao hata dalili za mtu
anayetumia madawa ya kulevya sijawahi kuziona kwa TID.
RAPA BILLNAS AMKINGIA KIFUA TID ASEMA HAJAWAHI KUMUONA AKITUMIA MADAWA YA KULEVYA
Reviewed by The Choice
on
7:48:00 AM
Rating:
No comments: