WANAFUNZI WACHEZEA BAKOLA ZA FFU LEO JIJINI DAR.

Wanafunzi wa Chuo cha St. Joseph tawi la jijini Dar es Salaam
wakitawanywa na askali wa kutuliza Ghasia (FFU) leo wakati wanafunzi hao
wakiandamana wanaelekea wizara ya elimu, Sayansi na mafunzo ya Ufundi
kudai kushinikiza chuo hicho (Kampasi)tawi la Arusha kifunguliwe.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii
WANAFUNZI WACHEZEA BAKOLA ZA FFU LEO JIJINI DAR.
Reviewed by The Choice
on
8:30:00 PM
Rating:

No comments: