Mmiliki wa Leicester, Aiyawatt atua kuangalia mazoezi kwa Helkopta

Mwenyekiti na mmiliki wa klabu ya Leicester, Aiyawatt Srivaddhanaprabha ametua katika mazoezi ya timu hiyo akitumia usafiri wa helkopta.
article-3541917-3336E1FC00000578-355_636x373
Mwenyekiti huyo raia wa Thailand alifika mazoezi na kushuhudia vijana wake wanavyojifua kabla ya kufanya mazungumzo mafupi na Kocha Claudio Ranieri.
33362F4200000578-3541917-image-a-114_1460727410592
Leicester kwasasa wako kileleni wakiwa na pointi 72, wakifuatiwa na Tottenham yenye pointi 65 huku Arsenal katika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 59.
3336360300000578-3541917-image-a-129_1460727600346
Leicester ikiwa inaenda ukingoni mwa Ligi Kuu ina matumaini makubwa ya kubeba ubingwa,
Mmiliki wa Leicester, Aiyawatt atua kuangalia mazoezi kwa Helkopta Mmiliki wa Leicester, Aiyawatt atua kuangalia mazoezi kwa Helkopta Reviewed by The Choice on 1:46:00 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.