Mzee Yusufu: Wake Zangu Marufuku Kutumia Instagram
WAKATI wanawake duniani kote leo wakiadhimisha siku ya wanawake
duniani, wake wa mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee
Yusufu, Leila Rashid na Chiku wamekatazwa kutumia tena mtandao wa
Instagram.
Wanawake hao wamekatazwa kutumia mtandao huo na endapo watatumia kwa siri mume wao huyo amewaeleza kwamba ndiyo itakuwa talaka yao.
Mzee Yusufu amechukua uamuzi huo baada ya hivi karibuni kuzuka kwa majibizano ya wake zake hao kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Whatsap na Instagram.
Akizungumza kwenye mahojiano na kipindi cha taarabu kinachorushwa na Redio Clouds, Mzee Yusufu, alisema mtandao huo ndio chanzo kikubwa cha kukuza mgogoro huo.
“Nimewatoa wake zangu wote kwenye mtandao huu ambao ndio nimeona umekuza sana mgogoro huu na mimi pia nipo njiani kutoka katika akaunti hiyo ili ibaki kwa ajili ya kazi tu na endapo nitagundua yeyote ana simu ya siri ambayo anaitumia kuingia kwenye mtandao huo ndiyo itakuwa talaka yake.
“Hivi tunavyozungumza wake zangu wote hawana akaunti za Instagram, zinazoendelea kusambaza maneno ni majina feki na ndiyo nimeshaamua hivyo,” alisema.
Mtanzania

Reviewed by The Choice
on
3:20:00 PM
Rating:
ReplyDelete>>>HABARI MPYA 10 LEO HII<<<
1:LIST MPYA YA MAJIPU YATANGAZWA
1:KINONDONI KUJENGAA MTAA WA BAR TUU
1:DALILI 10 ZA MWANAUME MGUMBA
1:DAWA YA KUONGEZA MAUMBILE YAGUNDULIWA
1:MADHARA YA KUVAA NGUO ZA NDANI
1:MADHARA YA KUTOFANYA MAPENZI KWA MUDA
1:MADHARA YA KUMEZA MBEGU ZA KIUME
1:JE UNA MCHEPUKO? PITIA HAPA USOME
1:NJIA ZA KUONGEZA UNENE KWA WALE WEMBAMBA
1:NJIA KUU TATU ZA KUMTEKA MWANAMKE
1:MADHARA YA KUJICHUA KWA WANAWAKE
1:MADHARA YA KUJICHUA KWA WANAUME
1:FAIDA ZA KUFANYA MAPNZ ASUBUHI
1:NJIA SAHIHI ZA KURUDISHA HAMU YA TENDO