BREAKING NEWZZ...MAJAMBAZI WAVAMIA BANK NA MABOMU MBAGALA NA KUUWA WALINZI
Benki ya Access Tawi la Mbagala Rangi Tatu kuna tukio la Ujambazi limetokea muda huu!
Kwa mujibu wa polisi kanda maalum, majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na polisi na kuzidiwa nguvu
BREAKING NEWZZ...MAJAMBAZI WAVAMIA BANK NA MABOMU MBAGALA NA KUUWA WALINZI
Reviewed by The Choice
on
7:49:00 PM
Rating:
Bigup jeshi la polisi tanzania
ReplyDelete