Mkuu wa Mkoa wa Mbeya atembelea uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Songwe (
Mbeya). Uwanja ilikamikika utakuwa kicheche I cha biashara ikiwemo
utalii na usafirishaji wa Maua na mboga mboga nje ya nchi Aagiza
maamlaka na taasisi zingine zijipange kuwa na raslimali watu na pia
wautangaze uwanja na vivutio mkoani Mbeya na mikoa jirani Uwanja una urefu wa km 3.5 njia ya kutumia Ndege wakati uwanja wa Jk Nyerere una 3 km Jengo la kusubiri a abiria ni kubwa uwezo wa kuhudumia wasafiri 30-500 kwa saa Ndege za abiria zitakazotua ni aina za Fokker na Airbus Ndege ya mizigo tani 500 itakuwa na uwezo wa kutua Songwe Hapa kazi tu |
No comments: