Video ya wimbo wa Lady Jaydee, Ndindindi itazinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Video hiyo imeongozwa na Justin Campos wa Afrika Kusini. Uzinduzi wake utafanyika Samaki Samaki, Masaki. Jaydee ameshare taarifa za uzinduzi huo kwa kupost picha hiyo chini kwenye mtandao wa Instagram. CHANZO na Bongo5.
No comments: