Gardner ashindwa kitendawili cha 'NDI NDI NDI
Ilikuwa
ni mwendo wa majibu ya mkato na mafumbo kutoka kwa Gadner tulipotaka
atupe mtazamo wake juu ya hit song "NDI NDI NDI" ya Jay Dee.
Gadner alikataa kuzungumzia chochote kuhusu nyimbo hiyo na kusema "Si ajabu watu wakinishangaa kwa hili, kama kushangaa watu wanashangaa hata mlima Kilimanjaro ambao upo kila siku
Gardner ashindwa kitendawili cha 'NDI NDI NDI
Reviewed by The Choice
on
8:43:00 AM
Rating:
No comments: