BREAKING NEWS :MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA APATA AJALI NA KUFARIKI DUNIA


Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa Vijijini  Ndg.Sinkala Mwenda amepata ajali jana  jioni  eneo la Tanangozi na kukimbizwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu lakini bahati mbaya akafariki dunia muda mfupi wakati madaktari wakijitahidi kuokoa uhai wake. Pumzika kwa amani Kamanda Sinkara.!
BREAKING NEWS :MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA APATA AJALI NA KUFARIKI DUNIA BREAKING NEWS :MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA APATA AJALI NA KUFARIKI DUNIA Reviewed by The Choice on 8:40:00 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.