BEYONCE AFUNGUA KANISA LAKE NA KULIPA JINA LA 'THE INTERNATIONAL CHURCH OF BEY' NA PIA ANA BIBLIA YAKE
Umewahi kusikia kuhusu kanisa jipya linanoitwa 'The national church of Bey'?
Msanii
Beyonce knowles wa Marekani ameacha maswali mengi baada ya kuanzisha
kanisa lake na kuliita "The national church of Bey" means church of
Beyonce.
Ambapo yeye ndio Mungu wa kanisa hilo na maelfu ya watu wanamuabudu kwa jina la "mother Bey"
Katika k�nisa hilo kuna picha ya Beyonce akionekana na Vazi la yesu, na nyingine akiwa na vazi LA papa wa dhehebu LA RC.
Amekuwa
akiitwa Mungu wa kike.. Na dini yake inaitwa "Beyism" ambapo pia
wanatumia biblia yao inayoitwa Beyble, inamzungumzia Beyonce kama
mwanamke mwenye uwezo wa ajabu kama Mungu na kuamua kumuita Goddess..
Dini
hiyo ya Beyism ina waumini maelfu ambapo inaonesha baadhi ya wafuasi wa
Mungu huyo Beyonce, watu maarufu kama Kanye west, Mariah carrey na
wengine.
BEYONCE AFUNGUA KANISA LAKE NA KULIPA JINA LA 'THE INTERNATIONAL CHURCH OF BEY' NA PIA ANA BIBLIA YAKE
Reviewed by The Choice
on
5:01:00 PM
Rating:
No comments: