NE-YO afunga ndoa na Crystal Renay ambaye alikuwa mchumba wake!

Ne-Yo ni mwanaume aliye oa kwa sasa. Mwimbaji na mchumba wake ambaye ni model Crystal Renay, wamefunga pingu za maisha huko Terranea Resort katika Rancho Palos Verdes, Calif siku ya Jumamosi Feb 20.

Ne-Yo amesema kuwa hatafanya tena kitu kama hicho, Na kwa sasa anaraha kwakuwa yeye na familia yake watakuwa pamoja "I’m not doing this again, so I’m happy that my family and friends are able to be there to share this moment with us. We’re human beings, so we’re gonna bump heads on different things, but we’ve agreed that this is gonna be a marriage that lasts.
NE-YO afunga ndoa na Crystal Renay ambaye alikuwa mchumba wake! NE-YO afunga ndoa na Crystal Renay ambaye alikuwa mchumba wake! Reviewed by The Choice on 9:48:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.