DIVA WA CLOUDS FM AMBWAGA CRAZY GK ASEMA YUPO SINGLE KWA SASA


Divathebawse amuamua kuwa muwazi kupitia mtandao wa Instagram na kuweka wazi kuwa yupo single muda sasa...Diva kwa muda mrefu alikuwa kwenye mahusiano na mwanamuziki Crazy GK kutoka East Coast Upanga, Kwa ujumbe huu aliopost Insta ina maanisha hayupo tena na GK

"Nikipost Picha zangu mambo ya shemeji shemeji guys sina Mahusiano na Mtu yoyote , been single for a while ' yaan I do sex for fun ' when i feel like doin it , nikisema i love you doesn't mean a thing , i love kila Mtu , Kila Mtu .. but Kimapenzi Mhhh ... No strings attached, ataenioa ndio huyo sasa atakuwa My one and Only ... so sio Shemeji wa Mtu yoyote ' stil searching tho for the Better Man , Mwanaume ataenijali na kunipa dunia yote .. Kama wewe ni One of them Pls , Drop comment yako. Natafuta Bwana. Kama Mna Kaka Zenu huko Hook me up Basi Guys .. awe handsome tho , awe loadedddd .."Divathebawse
DIVA WA CLOUDS FM AMBWAGA CRAZY GK ASEMA YUPO SINGLE KWA SASA DIVA WA CLOUDS FM AMBWAGA CRAZY GK ASEMA YUPO SINGLE KWA SASA Reviewed by The Choice on 9:47:00 PM Rating: 5

1 comment:

  1. Kama vp awe mke wangu wa pili nimpeleke unguja akale Samaki na masheli sbeli na ugali wa muhogo
    Na #w##D kwa xanaaaa

    ReplyDelete

Powered by Blogger.