Mwanamuziki Mromboso Amuweka wazi Baba yake Mzazi baada ya Dereva Bodaboda Kujiita Baba Maromboso Kwenye Kipindi cha Tegua Mtego
Maromboso kutoka Yamoto Band ameamua kumuonyesha baba yake Mzazi baada
ya Jamaa mmoja wa Bodaboda Kujitangaza kuwa yeye ndiye Baba Maromboso,
Maromboso aliposti Picha na Kuandika “Huyu Ndo Baba yangu …..Mzee Yusuph
Kilungi … Sasa huyo jamaa Wa Tegua mtego ” Boda boda anayejita Baba
Maromboso ajipange“
Mwanamuziki Mromboso Amuweka wazi Baba yake Mzazi baada ya Dereva Bodaboda Kujiita Baba Maromboso Kwenye Kipindi cha Tegua Mtego
Reviewed by The Choice
on
11:56:00 PM
Rating:
No comments: