Diamond Afungukia Juu ya Video Yake Ya ‘Make Me Sing’ Kufanana na ya Lil Wayne

Baada kudaiwa Video yake mpya ‘Make Me Sing’ kufanana na ya Lil Wayne,’Make Me Sing’ Diamond amefunguka haya.
DIAMOND3422
‘’Watu wanashindwa kuelewa kila kitu ambacho kinafanyika katika muziki sasa hivi kwenye videos kwenye kuimba na kila kitu,mashairi vilishafanyika,vilishaimbwa,kushutiwa kama vinafanyika ni marudio lakini kila mtu anarudia kwa namna yake anayoijua yeye kwa sababu ukisema nakupenda watu washaimba sana,lakini unafanyaje kwa namna yako wewe ili ilete utamu’’.
”Ukiangalia video ile niya mapenzi scrip yake mwanzo inaonyesha watu hawana hela wanaenda kuiba benki,wameenda kutumia na wanawake,bata halafu mwisho wa siku wakakamatwa,lakini pia inaelimisha tusikubali kushikwa na tamaa halafu wanawake watupelekeshe na kufanya vitu visivyofaa’’
cloudsfm.com
Diamond Afungukia Juu ya Video Yake Ya ‘Make Me Sing’ Kufanana na ya Lil Wayne Diamond Afungukia Juu ya Video Yake Ya ‘Make Me Sing’ Kufanana na ya Lil Wayne Reviewed by The Choice on 11:54:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.