TAZAMA VIPANDE VYA VIDEO YA 'SHIKA ADABU YAKO' YA NAY WA MITEGO
Msanii
wa muziki wa Hip Hop Nay wa Mitego amesema ndani ya video yake mpya ya
wimbo ‘Shika Adabu Yako’ amecheza kama bosi msela akiwa ofisini huku
Stan Bakora akimletea document mbalimbali ambazo anatakiwa
kuzishughulikia.
Licha
ya wimbo huo kufungiwa na Basata, rapa huyo ameiambia Bongo5 Alhamisi
hii kuwa, video hiyo inatoka hivi karibuni huku iliwa na vitu vingi vya
kuvutia.
“Sijaenda
Kenya nimeshoot hapa hapa lakini naimani ni video ambayo watu
wataifurahia zaidi tofauti na kwenye audio. Kitu ambacho naweza kuweka
wazi kuhusu video hii kwa sasa, kama watu walivyoona kwenye picha nipo
kwenye ofisi, mimi namwonekano wa kisela, kwenye ofisi mimi na kazi moja
na kazi yangu itaonekana kwenye video pamoja na Stan Bakora lakini
nazani pia picha zinajieleza zaidi,” alisema Nay.
Hizi ni picha za uandaaji wa video hiyo.
CHANZOna Bongo5.
TAZAMA VIPANDE VYA VIDEO YA 'SHIKA ADABU YAKO' YA NAY WA MITEGO
Reviewed by The Choice
on
6:51:00 AM
Rating:
No comments: