MANGE KIMAMBI AMVAA Diva Loveness Kung'ang'ani Pesa za Kilema Zilizochangwa na Wadau..Adai lazima Haki Itendeke


Mange Kimambi Alivalia Njuga Swala la Shutuma za Diva Loveness Kung'ang'ani Pesa za Kilema Zilizochangwa na Wadau..Adai lazima Haki Itendeke...

Soma Hapa:


From @mangekimambi_ - Ni mwezi Sasa Toka @divathebawse atume hii message kwa Mama Husna. Ofcourse Kesho yake huyo Msaidizi wake Maya hakutuma hata senti. Mama wa watu kuanza kudai pesa zake ndo kaonekana hana respect! . .
It's 2016 let's use social media Kwa mambo ya Maana zaidi ya umbea..... Ni wanyonge wengi wanafanyiwa Hivi Na hizi foundation.

Diva mwenyewe Hana hata mshipa wa aibu Sidhani hata Kama ana mpango wa kutoa Hizo pesa........ Ndo kwanza anajisexisha insta hana hata time.... Roho ngumuuuuu Mpaka! But tusikate tamaaaa lazma Huyu tumfanye mfano. Kuna Mtu kajitolea kumsaidia Huyu mama kufatilia hii kesi kisheria, , dhumuni sio tu hiyo laki 7 tu Ila dhumuni Ni kukomesha uonevu huu....

First of all mnaojua process za kushtaki foundation pls whatsapp me. + 1 424 333 2650. As in Naomba kujua process nzima ya kufatilia hii kesi Mpaka Huyu mama apate pesa zake.......as in waanzie wapi na Kitengo kipi serikalini Chenye mamlaka ya hizi foundation ambapo malalamiko kama haya yanapelekwa????? Pia ni (wizara) Waziri gani anahusika na issue hii ? Je yupo insta?
MANGE KIMAMBI AMVAA Diva Loveness Kung'ang'ani Pesa za Kilema Zilizochangwa na Wadau..Adai lazima Haki Itendeke MANGE KIMAMBI AMVAA Diva Loveness Kung'ang'ani Pesa za Kilema Zilizochangwa na Wadau..Adai lazima Haki Itendeke Reviewed by The Choice on 11:09:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.