NAY WA MITEGO ASEMA ANA UTAJIRI WA ZAIDI YA TSH. BILION 1 NA ZAIDI...PIA ATAJA MALI ZAKE ANAZO MILIKI
MSANII NAY WA MITEGO AMETAJA MALI ZAKE ANAZO MILIKI HUKU AKISEMA KWA SASA ANA UTAJIRI WA ZAIDI YA TSH.BILIONI MOZA ZA KITANZANIA. ALITAJA MALI HIZO KUWA NI MAGARI MATATU YA KUTEMBELEA AINA YA PRADO,MURANO NA PORTE PIA ANA GARI ZA BIASHARA AMBAZO NI COASTER 2 NA HIACE 3 PIA ANA BAJAJI NYINGI AMBAZO HAKUTAJA IDADI YAKE PIA ALISEMA ANA MADUKA SALOON NA MASHAMBA KWA AJILI YA KILIMO.ALIYASEMA YOTE HAYO ALIPO KUWA ANAZUNGUMZA NA CLOUDS TV |
NAY WA MITEGO ASEMA ANA UTAJIRI WA ZAIDI YA TSH. BILION 1 NA ZAIDI...PIA ATAJA MALI ZAKE ANAZO MILIKI
Reviewed by The Choice
on
10:19:00 PM
Rating:
No comments: