TEAM ZARI WAMSHAMBULI MCHEPUKO HUU WA STAA DIAMOND PLATNUMZ
Kuna ubuyu mpya mjini… Na tena unaonesha umepata wateja wengi kwa muda mfupi.
Mashabiki
wa Zari the Bosslady wanamshambulia Lynn, mrembo aliyetumika kwenye
video ya ‘Kwetu’ ya msanii wa WCB, Raymond kwasababu wamesikia tetesi
kuwa amechepuka na Diamond Platnumz.
Tetesi
hizi ni kubwa kiasi ambacho watu walio karibu na mastaa hao wamedai
kuwa zimeitikisa ikulu ya Chibu. Wanadai kuwa Zari amekerwa na tetesi
hizo na kwamba uhusiano wao umepata dosari.
Wiki
hii tetesi hizo zimevuma zaidi kiasi ambacho mashabiki wa Zari wamekuwa
wakimmiminia matusi Lynn kwenye akaunti yake ya Instagram.
Inafurahisha
kwasababu Lynn haoneshi kutikiswa na matusi hayo huku pia akipewa
support kubwa kutoka kwa mashabiki ambao hawampendi Zari. Of Course Team
Wema yote inaonesha kuwa nyuma yake!
Cha
kuvutia zaidi ni kuwa Lynn ni msichana mdogo na mrembo sana kiasi
ambacho wasiompenda Zari wanasema anafaa zaidi kuwa kifaa cha Bin Mondi.
Kwa wengi hizi bado ni tetesi tu lakini kama ukiangalia post za nyuma
za Lynn, utagundua kuwa alikuwa shabiki mkubwa wa Daimond kwakuwa
amekuwa akiweka picha zake [Diamond] mara kwa mara.
Lynn ana kila sababu ya kuwa na wasiwasi sababu kuna mashabiki wanaoenda mbali zaidi kwa vitisho vyao.
“We
see these stories going around & we are watching you. Ntakutoa
meno. Utak*zwa kwa mk**u since you look like a hor*y bitch jumping on
people’s husbands… you have been warned,” ameandika shabiki mmoja.
“Watch
your steps. We already have a bajaji which followed you to your house.
You like f**ing other people’s men? You will get whats coming to you.
Stay away from mama tiffahs man. Ut**wa mal**a ww. Rudi kumpost tena,”
ameongeza.
Lynn ana watetezi wengi pia.
“Aisee
hata ningekua mimi bwanangu niskie ana mwanamke mzuri kunishinda lazma
nitahangaika!! Khaaa si kwa uzuri huu Lynn,” ameandika shabiki mmoja.
“@zarithebosslady
rudi kwenu BANANGE kule kijijini ulivoendaga kuroga siku ile basiii!!
Ku****yo M***ya la mwaka 79 yani usitake nianze kukupa michambo,sawa?
Eti omulunji,ushapewa kiki za kutosha k*** wewe ulikutwa na followers
elfu moja sasa hivi una followers milion inaenda milion 2..haya fanya
yako bibi la kupenda kiki mpaka linasahau kuwaangalia wanae!! Fanya
mitende ile,halafu hukuchomaga kinga ya matende wewe ulivozaliwa eeeh??
Au enzi hizo uganda kinga zilikua bado hazijaingia?”
Hatari tupu! Acha tuone movie hii itaishia wapi! Mfahamu zaidi Lynn kwa picha zake hizo chini.
chanzo na Bongo5.
TEAM ZARI WAMSHAMBULI MCHEPUKO HUU WA STAA DIAMOND PLATNUMZ
Reviewed by The Choice
on
7:42:00 AM
Rating:
No comments: