SUPER STAR KING WA BONGO DIAMOND PLATINUMS ANUNUA MJENGO SOUTH
Msanii
Diamond Platnumz amefunguka kuhusu suala la yeye kutonunua nyumba
nchini Marekani kama wasanii wenzake wakubwa wa Afrika wanavyofanya.
“Nna nyumba South Africa kwa sababu nina familia South Africa kwa hiyo ni lazima ninunue nyumba south Africa, lakini sina sababu ya kusema ninunue nyumba Marekani, ninunue nyumba Marekani kwa sababu gani, kwanza sipapendi, uongozi unajua kabisa”, alisema Diamond.
Pia
Diamond aliweka wazi kuwa kununua nyumba Marekani kwake hakuna faida,
ni heri awe na kijiji cha nyumba Tandale au Mwananyamala, lakini si
Marekani.
“Nyumba sio hela nyingi dola laki mbili kama milioni mia nne unanunua nyumba, so ni matakwa ya mtu mwenyewe, sasa usitake kununua nyumba Marekani wakati trip zako za kwenda Marekani ni chache, usitake kuonekana tu una mashauzi, mara kumi milioni 500 ukanunua nyumba pale Tandale karibuni 10 ukapost nna kijiji Tandale ukazipangisha ukaingiza hela kuliko Marekani”, alisema Diamond
SUPER STAR KING WA BONGO DIAMOND PLATINUMS ANUNUA MJENGO SOUTH
Reviewed by The Choice
on
4:19:00 PM
Rating:
No comments: