SAKATA LA WAUZA UNGA MOTO WAWAKA KILA KONA,ZARI THE BOSS LADY NAYE ACHUNGUZWA
Zarina Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah.
Kufuatia
kamatakamata ya wafanya-biashara wanaodaiwa kujihusisha na madawa ya
kulevya ‘unga’ Bongo, kuna madai kwamba, Jeshi la Polisi Tanzania
linawachunguza upya mastaa wanaoingia na kutoka kwa kutumia Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar huku Zarina
Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah akitajwa kuwemo.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, hatua hiyo imekuja baada ya jeshi hilo kubaini ‘ingia toka’ ya mastaa hao ambao baadhi yao wamemaliza vitabu vitatu vya hati za kusafiria kwa mwaka mmoja kwa kupigwa muhuri wa uhamiaji kwa sababu ya safari.
SAKATA LA WAUZA UNGA MOTO WAWAKA KILA KONA,ZARI THE BOSS LADY NAYE ACHUNGUZWA
Reviewed by The Choice
on
7:49:00 AM
Rating:
No comments: