RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI SHUGHULI ZA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI (KWIBUKA) KIGALI NCHINI RWANDA.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakisali mbele ya makaburi ya watu
waliouwawa katika Mauaji ya Kimbari nchini Rwanda mwaka 1994. Kulia ni
Rais wa Rwanda Paul Kagame pamoja na Mkewe Janeth Kagame na mtoto.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais wa Rwanda Paul Kagame wakiwasha mwenge wa matumaini kuashiria
kutotokea tena kwa mauaji ya Kimbari nchini Rwanda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais wa Rwanda Paul Kagame, mama Janeth Magufuli, Mama Janeth Kagame
wakisikiliza historia ya jinsi mauaji ya kimbari yalivyotokea katika
eneo la kumbukumbu ya mauji hayo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais wa Rwanda Paul Kagame, mama Janeth Magufuli, Mama Janeth Kagame
waiwa wamesimama kutoa heshima kwa watu waliofariki katika mauaji hayo
ya kimbari.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakiangalia kwa uchungu mafuvu ya watu
waliopoteza maisha katika mauaji hayo ya kimbari.
Wageni mbalimbali waliofika kwenye kumbukumbu hizo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
picha za watoto waliouwawa kinyama katika eneo la Kumbukumbu ya Mauaji
ya Kimbaria Gishozi Kigali nchini Rwaanda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini
Kitabu katika Jengo la makumbusho ya mauaji ya Kimbari Gishozi Kigali
nchini Rwanda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
kitabu chenye maelezo mbalimbali kuhusu mauaji hayo ya kimbari.
Rais
wa Rwanda Paul Kagame akimpokea Rais Magufuli katika viwanja vya
Gishozi kabla ya kwenda kuweka mashada ya maua kwenye makaburi ya watu
waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.
Rais
wa Rwanda Paul Kagame akiwa na Rais Magufuli pamoja na Mama Janeth
Magufuli, Janeth Kagame wakielekea kwenye makaburi ya halaiki katika
makumbusho ya mauaji ya Kimbari, Gishozi Kigali nchini Rwanda
RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI SHUGHULI ZA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI (KWIBUKA) KIGALI NCHINI RWANDA.
Reviewed by The Choice
on
7:48:00 AM
Rating:
No comments: