Radio EFM Yawachukua Watangazaji Gerald Hando na PJ...Imewatambulisha leo Rasmi


(PJ) pamoja na Abel Onesmo Jumamosi hii wametambulishwa rasmi EFM.
Watangazaji wa zamani wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm, Gerald Hando, Paul James

Mkurungenzi wa EFM Radio, Francis Siza ‘DJ Majay’ (kushoto) Paul James (PJ) pamoja na Gerald Hando

Utambulisho huo umefanyika katika sherehe za shindalo la Shika Ndinga 2016 zilizofanyika Mbagala Zakhiem jiji Dar.

Kupitia ukurasa wa EFM, wameandika:
Utambulisho wa wanafamilia wapya wa @efm_93.7@geraldhando @pjpauljames @abelonesmo #TUNALISONGESHA#huumchezohauhitajihasira
Tazama picha za utambulisho huo.
Radio EFM Yawachukua Watangazaji Gerald Hando na PJ...Imewatambulisha leo Rasmi Radio EFM Yawachukua Watangazaji Gerald Hando na PJ...Imewatambulisha leo Rasmi Reviewed by The Choice on 9:56:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.