MKUU MPYA WA WILAYA YA KINONDONI AKATAA SHEREHE YA PONGEZI ,AOMBA FEDHA ZICHANGIE MADAWATI
Mkuu wa Wilaya Mteule wa Kinondoni amekuwa na kikao na Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Media Group Bw. Ruge Mutahaba.
Pia Alipewa nafasi ya kusalimia kwenye kikao cha Management ya Clouds.
Kikubwa
Zaidi DC wa Kinondoni Ameandaliwa Sherehe ya kupongezwa na Akakataa
Sherehe hiyo na kuwaomba Garama hizo za Sherehe kwa maana ya Chakula na
Vinywaji Wachangie Madawani kwa wilaya ya Kinondoni.
Kisha alipata wasaa wakuzungumza ktk Kipindi cha Leo Tena.
MKUU MPYA WA WILAYA YA KINONDONI AKATAA SHEREHE YA PONGEZI ,AOMBA FEDHA ZICHANGIE MADAWATI
Reviewed by The Choice
on
10:19:00 AM
Rating:

No comments: