'Mazishi' yamchanganya Nay wa Mitego
Nay wa Mitego
Nay
wa Mitego baada ya kuisikiliza kazi hiyo ya Khaligraph Jones alisema
kuwa katika watu ambao ni ma-rapa wazuri na wanachana sana basi huwezi
kushindwa kumtaja rapa Khaligraph Jones kutoka Kenya na kudai mwana ni
mkali kupitiliza.
"Wanajua ni 'Mazishi' by Khaligraph Jones toka Kenya. Kama kuna ma-rapa wanachana mmmmh huyu jamaa anavunja daming. Hii ngoma ni kali sana" alindika Nay wa Mitego kwenye Acount yake ya Instgram.
Mashabiki wa Nay wa Mitego waliungana naye na kusema kuwa wimbo huo wa Khaligraph Jones ni wimbo ambao uko poa sana na kwamba jamaa ameonesha uwezo mkali huku wengine wakimwambia Nay wa Mitego kuwa hata yeye kwa mwana hawezi kusogea na kudai kama anabisha ajaribu kumdiss aone uwezo wa Khaligraph Jones katika diss.

Reviewed by The Choice
on
10:18:00 AM
Rating:
No comments: