Kipini Cha Pua Cha Diamond chafanya Mashabiki watukanane mitandaoni


Watu wanahofia kipini cha pua cha Diamond kuliko hata kesho yao.

Kinachowaumiza zaidi mashabiki wake ni kuwa haoneshi kujali kilio chao. Aliwashtua sana juzi pale alipoweka picha ikimuonesha akiwa na kipini hicho na wengi walihisi amejitoga.

“Bro hapo umezingua mm nmekuwa shabik yako tangu mwaka 2010 mpaka now nakubali kila ufanyacho bt kwahil nme kushusha vyeooo coz tambua ww ni mtot kisilam hapo ume feel bro nitaendelea kusapoti mziki wako ila tambua ume wakwaza wengi,” ameandika shabiki mmoja.
Kipini Cha Pua Cha Diamond chafanya Mashabiki watukanane mitandaoni Kipini Cha Pua Cha Diamond chafanya Mashabiki watukanane mitandaoni Reviewed by The Choice on 7:00:00 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.