Mkuu
wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepiga marufuku wananchi kutoa
pesa kuwasaidia ombaomba kandokando ya barabara na maeneo mengine, na
kudai kuendelea kuwasaidia ni kuwafanya wazidi kuongezeka zaidi.
HUYU NDO OMBA OMBA MAARUFU DAR ANAYE JIFANYA MLEMAVU KUMBE NI MZIMA WA AFYA.
Reviewed by The Choice
on
8:48:00 PM
Rating: 5
No comments: