Breaking Newzz....Ndanda Kosovo Afariki DUNIA
Baada ya kuugua kwa siku chache, mwanamuziki nguli wa dansi Ndandaa Kosovo amefariki dunia leo asubuhi. Kwa mujibu wa mtu wa karibu na Ndandaa, Kardinal Gento ambaye naye ni mwanamuzi wa dansi, amiethibitishia Saluti5 kuwa Ndandaa amefariki dunia. Ndandaa amefariki katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa tangu juzi kutokana na matatizo ya tumbo. TAARIFA ZAIDI ZITAFUATA.
Breaking Newzz....Ndanda Kosovo Afariki DUNIA
Reviewed by The Choice
on
12:26:00 PM
Rating:
No comments: