Mwanamuziki Dela akanusha kuwa na beef kati yake na AY, Ni baada ya kutoonekana kwenye video ya Asante
Mwanamuziki Dela Maranga kutoka Kenya ambaye kwa hapa Tanzania alianza kufahamika na kuzungumziwa sana baada ya kusikika kwenye wimbo wa Asante alioshirikishwa na Ambwene Allen Yessayah aka AY amekanusha kuwa na beef kati yake na mwanamuziki huyo.
Akizungumza kwenye Friday Night Live show inayorushwa saa tatu usiku na EATV na EA Radio baada ya kuulizwa kwanini hakuonekana kwenye video hiyo wakati ilikuwa ni moja ya video kubwa kwa AY aliyo itoka kwa wapendanao.
Dela ameeleza sababu ya kutokuwepo kwenye video hiyo nikutokana na ratiba yake kuingiliana na ratiba ya uandaaji wa video hiyo kwakuwa hakuwepo njchini Kenya wakati AY alikuwa nchini humo, lakini yeye na AY hawana tofauti yoyote bali ni marafiki wazur
Dela ameeleza sababu ya kutokuwepo kwenye video hiyo nikutokana na ratiba yake kuingiliana na ratiba ya uandaaji wa video hiyo kwakuwa hakuwepo njchini Kenya wakati AY alikuwa nchini humo, lakini yeye na AY hawana tofauti yoyote bali ni marafiki wazur
Mwanamuziki Dela akanusha kuwa na beef kati yake na AY, Ni baada ya kutoonekana kwenye video ya Asante
Reviewed by The Choice
on
9:25:00 PM
Rating:
No comments: