Mwamvita Makamba Ajibu Tuhuma za Mange Kimambi Adai January Makamba Hahusiki na Kashfa Zinazosambazwa Mitandaoni..Msikilize Hapa

January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.
Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.
Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.
Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.
Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.
Mwamvita Makamba SIKILIZA HAPA:
Mwamvita Makamba Ajibu Tuhuma za Mange Kimambi Adai January Makamba Hahusiki na Kashfa Zinazosambazwa Mitandaoni..Msikilize Hapa Mwamvita Makamba Ajibu Tuhuma za Mange Kimambi Adai January Makamba Hahusiki na Kashfa Zinazosambazwa Mitandaoni..Msikilize Hapa Reviewed by The Choice on 1:09:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.