Mange Kimambi Afunguka Baada ya Mtaliano Kuandika Barua ya Kuwashafisha January na Mwamvita Makamba....




"Mangekimambi_ hii ndio Tanzania yetu. Mlalamikaji ambae a few hrs before aliingia Twitter Na kumtishia January Kuwa atae expose na Safari Yao ya Dubai amesainishwa na barua na wana sheria kabisaa ya kumsafisha January Makamba! . .

Have you guys seen anything like this before?? Does it make sense?? a few hrs before mlalamikaji anatoa vitisho hadharani then anafanya a complete 100% turn around , akili kichwani kwako Mtanzania! Wow! Anyways, like I said any reasonable average person anaelewa what happened, you don't need to be a genius. Yani hata Waziri Mkuu na Rais wakiamua kumwacha January ni vile waamue but from zile audio za Mwamvita, to interview ya January hata wao wanajua January is guilty as charged!

Barua yenyewe wamemuandikisha fasta Mpaka wamekosea date

Hata wasipomchukulia hatua Ila In 2020 we will not forget , voice note bado zitakuwepo, email bado zitakuwepo, interview ya January bado itskuwepo Na tutawakumbusha Watanzania " Mange
Mange Kimambi Afunguka Baada ya Mtaliano Kuandika Barua ya Kuwashafisha January na Mwamvita Makamba.... Mange Kimambi Afunguka Baada ya Mtaliano Kuandika Barua ya Kuwashafisha January na Mwamvita Makamba.... Reviewed by The Choice on 8:10:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.