Kashfa ya Ufisadi ya Waziri Makamba akidaiwa kuwa dalali wa mwekezaji (Raia wa Italia) aliyetaka kuwekeza kwenye bandari ya Bagamoyo, yashika kasi.


Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.

Jaribu kupitia..

(Mazungumzo ya Sauti yameambatanishwa)

[​IMG]
 
Kashfa ya Ufisadi ya Waziri Makamba akidaiwa kuwa dalali wa mwekezaji (Raia wa Italia) aliyetaka kuwekeza kwenye bandari ya Bagamoyo, yashika kasi. Kashfa ya Ufisadi ya Waziri Makamba akidaiwa kuwa dalali wa mwekezaji (Raia wa Italia) aliyetaka kuwekeza kwenye bandari ya Bagamoyo, yashika kasi. Reviewed by The Choice on 12:50:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.