HIVI NDIVYO Mziki wa Tanzania Unavyokuwa Kwa Kasi na Kuelekea Kuipita Nigeria
Na Amin Amali
Muziki
wa Tanzania umekua kwa kiasi kikubwa tofauti nazamani, huwezi kukosa
kumtaja Diamond katika muziki wa Tanzania haswa katika mafanikio
kuaanzia kwake, lakini pia huwezi kukosa kumtaja Alikiba kama asingetaka
kupunzika mwaka 2008 nadhani yeye ndiyo angeutoa muziki lakini bado
nafasi ya Dimond ni kubwa mno.
WAPI WA NIGERIA WALIPO TUPITA HAPO AWALI?
Waliwahi
kuwekeza japo muziki wao unategemea zaidi mdundo, hawakuwa na ‘melody’
nzuri wala tungo nzuri, Nigeria hawatuwezi hata kidogo kimuziki haswa
mashairi ,melody na tungo .
Wenzetu
waliwekeza zaidi katika “VIDEO”baada ya kupata mdundo(beat) nzuri japo
mashairi ya kawaida waliwekeza katika video na hii ili wanyanyua sana
wakati sisi tulikuwa katika “Audio”
Wakati
wao wako katika ‘Social media’ sisi tulikuwa bado hatujaingia sawa sawa
nahii nathubutu kusema mafanikio makubwa ya Dimond kushinda tuzo mbali
mbali social media
Ushirikiano
pamoja na yote wenzetu hawakuwa na ubinafsi katika kushirikiana na
kusaidiana tangu zamani,mfano mzuri 2face idibia ambapo kwa sasa anaitwa
2baba yeye ndiye ameitambulisha nigeria vizuri lakini hakuwa mgumu
kuwapa ushirikiano wenzake.
WAPI TUMEWAPIGA BAO?
Baada
ya kugundua kuwa kutoa Audio bila video ni sawa na bure kabisa hivi
sasa kila msanii anawekeza katika Video kali siku akitoa audio ana toa
na video.
kiswahili
kutumika vizuri kimataifa hii pia ni sababu ya muziki wetu kukua na
kuanza kupigwa sehemu mbali mbali duniani hii imetuongezea wigo.
KIPI KIMEBAKI TUWE NAMBAOJA?
kitu
kilicho baki ni kimoja tu wa bongo tuna‘figisu figisu’ sana katika
kushirikiana , tukitekeleza kupendana na kushirikiana sawa sawa Nigeria
itakuwa namba mbili kumbuka hapo awali Afrika kusini walikuwa namba
moja kabla ya Nigeria kuchukua hatamu na kama inavyo endelea kwa sasa
tunaenda kuwa namba moja
HIVI NDIVYO Mziki wa Tanzania Unavyokuwa Kwa Kasi na Kuelekea Kuipita Nigeria
Reviewed by The Choice
on
11:44:00 AM
Rating:
No comments: