Naona Kigamboni ikibadilika kabisa. Inapaswa kuweka mipango Miji bora
kuendana na uwekezaji huu wa Daraja. Haya ndio Maendeleo. Vitu
vinaonekana badala ya porojo tu.
Barabara zinazotoka na kwenda darajani ziboreshwe sasa. Vinginevyo itakuwa white elephant
ALICHO ANDIKA MH. ZITTO KABWE BAADA YA KUPITA KWENYE DARAJA LA KIGAMBONI
Reviewed by The Choice
on
4:20:00 PM
Rating: 5
No comments: