Hii ndiyo sababu ya Bien wa Sauti Sol kuwaita hawa mifugo wake majina ya Diamond na Zari!
Mwimbaji
wa Sauti Sol ‘Bien’ ameweka wazi kuwa anampango wa kuwapatia mifugo
yake ya nyumbani majina ya watu maarufu. Bien Aime Baraza ana sungura na
kuku nyumbani kwake na anachagua kuwaita Nameless na Wahu au Diamond na
Zari. Mashabiki wameombwa kuchagua sungura na kuku wa Bein wapewe
majina gani Nameless & Wahu au Diamond & Zari ? .
Hii ndiyo sababu ya Bien wa Sauti Sol kuwaita hawa mifugo wake majina ya Diamond na Zari!
Reviewed by The Choice
on
8:17:00 PM
Rating:
No comments: