Diamond Platnumz kufanya ngoma ya pamoja na rapper Kanye West!
Wengi walipoona picha ya mwanamuziki wa bongo fleva Nasib Abdul aka Diamond Platnumz aliyoipiga na mwanamuziki nguli wa rap kutoka Marekiani rapper Kanye West wengi
wametamani kuona kuwa msanii wetu anafanya kazi na mwanamuziki huyo kwa
kuangusha comment zao za kumpongeza kwa namna anavyo jituma
kujitangaza.
Tupia comment zako hapo chini kuwa unaona inawezekana kwa Diamond Platnumz kufanya ngoma ya pamoja na rapper Kanye West
Tupia comment zako hapo chini kuwa unaona inawezekana kwa Diamond Platnumz kufanya ngoma ya pamoja na rapper Kanye West
Diamond Platnumz kufanya ngoma ya pamoja na rapper Kanye West!
Reviewed by The Choice
on
9:27:00 PM
Rating:
No comments: