BREAKING NEWZZ.....Ajali Mbaya Iliyohusisha Daladala na Malori Mawili eneo la Tabata matumbi Yaua Watu Kadhaa Jijini Dar es Salaam

Ajali Mbaya imetokea leo asubuhi eneo la Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam ikihusisha malori mawili  na daladala iliyo kuwa ikitokea Gongo la Mboto kuelekea Ubungo

Abiria kadhaa wamepoteza Maisha na wengine wengi Wamejeruhiwa vibaya 

==
BREAKING NEWZZ.....Ajali Mbaya Iliyohusisha Daladala na Malori Mawili eneo la Tabata matumbi Yaua Watu Kadhaa Jijini Dar es Salaam BREAKING NEWZZ.....Ajali Mbaya Iliyohusisha Daladala na Malori Mawili eneo la Tabata matumbi Yaua Watu Kadhaa Jijini Dar es Salaam Reviewed by The Choice on 10:26:00 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.