BREAKIN NEWZZ!! - WASANII 2 WA BONGO MOVIE WAFANYA MAAJABU NIGERIA LIVE SASA HIVI!!


Super Star Actress Lulu Michael ameshinda "2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS" on East Africa Best Movie kwenye muvi yake ya "MAPENZI"

Movie Star Richie Single Mtambalike ameshinda Best East African Movie pia kwenye mashindano haya ya Lagos leo.

Kabla ya washindi kutangazwa kutoka kushoto ni Bongo Muvi Star Monalisa + Single Mtambalike + Honeymoon na Lulu.
BREAKIN NEWZZ!! - WASANII 2 WA BONGO MOVIE WAFANYA MAAJABU NIGERIA LIVE SASA HIVI!! BREAKIN NEWZZ!! - WASANII 2 WA BONGO MOVIE WAFANYA MAAJABU NIGERIA LIVE SASA HIVI!! Reviewed by The Choice on 4:05:00 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.