Kupitia kurasa ya TCRA ya twitter wametumia muda kidogo kumuelewesha
msanii Ay kuhusu muda wa kuchezwa kwa video yake kwa mujibu wa sheria ya
vyombo vya utangazaji.
Video ya Zigo ya Ay Ft Diamond Platnumz itakuwa inachewa usiku tu kwenye tv.
Reviewed by The Choice
on
7:40:00 AM
Rating: 5
No comments: