Fahamu Maana ya Ngoma NdiNdiNdi ya Lady JayDee
Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura maarufu kama Lady JayDee ameweka
hadharani maana ya ngoma yake mpya inayotesa mtaani kwa sasa kwa jina
la NdiNdiNdi.
Akiitambulisha video ya wimbo huo kwa mara ya kwanza ndani ya FNL ya
EATV Lady JayDee amesema kwamba maana ya wimbo huo ni ‘The Ndi Mimi ni
kitu Tori wewe si kitu’ ili kuleta fleva ya muziki ndo akaiita
NdiNdiNdi. ‘Mimi ni kitu na wewe si chochote’.
Wimbo huo video yake imeruka kwa mara ya kwanza ndani ya FNL ambapo mashabiki wa Bongo Fleva walishiriki moja kwa moja kwa kumpongeza msanii huyo pamoja na kuuliza maswali mbalimbali ambayo aliyajibu papo kwa hapo.
eatv.tv
Wimbo huo video yake imeruka kwa mara ya kwanza ndani ya FNL ambapo mashabiki wa Bongo Fleva walishiriki moja kwa moja kwa kumpongeza msanii huyo pamoja na kuuliza maswali mbalimbali ambayo aliyajibu papo kwa hapo.
eatv.tv
Fahamu Maana ya Ngoma NdiNdiNdi ya Lady JayDee
Reviewed by The Choice
on
10:06:00 PM
Rating:
No comments: