Nuh Mziwanda awaomba msamaha wazazi wake, ndugu na marafiki zake.
‘’ Huwa naongea
ukweli, ni kweli nilikuwa naishi kwa mwanamke wangu (Shilole) alikuwa
hataki ninunue hata feni ,hajawahi kuniambia ninunue friji,kitanda
niweke nyumbani kwa mama yangu vikae,ila wazazi wangu na ndugu zangu
walikuwa wakinihimiza kuwa umri unaenda nifungue akili yangu nifikirie
ninachopaswa kufanya, mapenzi yasiniendekeze’’Nuh
‘’Nimeyaona pia namwomba msamaha mama yangu,ndugu zangu,marafiki zangu waliokuwa wananipa ushauri mimi nilikuwa naona nimepata kuwa nimepatikana sasa hivi ni Nuh mpya nina maisha yangu ,nafanya shughuli zangu,’’Nuh
‘’Nimeyaona pia namwomba msamaha mama yangu,ndugu zangu,marafiki zangu waliokuwa wananipa ushauri mimi nilikuwa naona nimepata kuwa nimepatikana sasa hivi ni Nuh mpya nina maisha yangu ,nafanya shughuli zangu,’’Nuh
Nuh Mziwanda awaomba msamaha wazazi wake, ndugu na marafiki zake.
Reviewed by The Choice
on
9:04:00 AM
Rating:
No comments: