Baada ya Dogo Janja kulalamika Tip Top inamshusha kimuziki,Madee asema washalipia ‘audio’ na video ya msanii huyo.
‘’Tukisema tuendelee kuhoji tayari tushakuwa tushapata hasara kwa sababu tumeshalipia audio,video tumeshafanya kila kitu kipo tayari ila kauli yake imewapa watu ‘shock’ ndio maana nasema kauli yangu peke yangu nashindwa kuamua,nitajaribu kukaa na Babu Tale na uongozi kwa ujumla lakini pia lazima turudi upande wake tujue alikuwa akitamka maneno yale sehemu gani na alikuwa akitaka nini’’Madee.
Ngoma mpya ya Dogo Janja inatarajia kutoka kesho
Baada ya Dogo Janja kulalamika Tip Top inamshusha kimuziki,Madee asema washalipia ‘audio’ na video ya msanii huyo.
Reviewed by The Choice
on
8:58:00 AM
Rating:
No comments: