New Video: Harmonize ft Diamond Plutnumz ‘Bado’.




Chipukizi wa Bongo flava ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Bado’ aliyomshirikisha Bosi wake Diamond plutnumz.
Hii ni kirata yake ya pili baada ya Aiyola kufanya vizuri sokoni.
Wimbo umeandaliwa na WCB wasafi na video imerekodiwa Afrika kusini, Itazame hapo chini
New Video: Harmonize ft Diamond Plutnumz ‘Bado’. New Video: Harmonize ft Diamond Plutnumz ‘Bado’. Reviewed by The Choice on 7:44:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.