Naibu Spika Dk. Tulia Ackson Anusurika Kifo Baada Ya Kupata Ajali
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson
amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali jana
jioni.
Taarifa
za awali zimeeleza kuwa Dk. Tulia alipata ajali hiyo baada ya gari dogo
kugonga gari alilokuwa akisafiria katika eneo la Kiwira jijini Mbeya.
Naibu Spika Dk. Tulia Ackson Anusurika Kifo Baada Ya Kupata Ajali
Reviewed by The Choice
on
8:24:00 AM
Rating:
No comments: