MSANII SHETTA AANDIKA UUMBE HUU JUU YA VIDEO YA SHIKA ADABU YAKO YA NAY WA MITEGO
Video ya Shika adbu yako yakwake Nay wa Mitego imetoka nakuwekwa kwenye mitandao leo asubuhi ambapo wengi wameiongelea kwa kila mtu awazavyo. Kwenye video hiyo Nay ametumia watu mbali mbali kuonyesha matukio ambayo amekuwa akiyaimba kwenye ngoma hiyo.
Upande ambapo wengi wamezungumzia ni pale ambapo nay anamuimba Shetta nakusema kuwa gari kapewa na Chief Kiumbe huku video ikionyesh amtu akishikwa matako, Wengi wamedhani kuwa ni kweli Shetta anafanywa hivyo, Lakini kupitia account ya Shetta ya Instagram ameandika haya "Nimeangalia
hii video Nimecheka sanaaa... hahahahah Wewe Nay jinga sanaaa wewe....
Kama Bado Ujaiona hii video Nenda kwenye Bio ya bwana @naytrueboy
#ShikaAdabuYako #SupportOurOwn...!! #MAMBA"Lakini katika maneno hayo aliyo yaweka, Shetta ameambatanisha na video inayo onyesha kipande hicho ambacho kinamuimba yeye kama hapo juu inavyo onekana
MSANII SHETTA AANDIKA UUMBE HUU JUU YA VIDEO YA SHIKA ADABU YAKO YA NAY WA MITEGO
Reviewed by The Choice
on
8:52:00 PM
Rating:
No comments: