HATIMAYE WASIRA AAMUA KUWA MFUGA MBUZI..BAADA YA KUTAKA KUMPIGA MWANDISHI WA GAZETI LA MWANANCHI


Kuanzia juzi Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Waziri, Stephen Wassiara, alitrend kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akimfukuza mwandishi aliyekuwa akimmulika picha mfululizo.
Wasira amesema kilichomfanya aamue kumvamia mwandishi wa gazeti la Mwananchi juzi ni kitendo cha kupigwa picha nyingi alizoona zimekithiri.
Wasira, ambaye aliingia kwenye siasa mwaka 1970, alipigwa picha hizo wakati akitoka kwenye jengo la Mahakama Kuu, Kitengo cha Biashara mjini Mwanza ambako shauri la wakazi wa Bunda waliokuwa wakitaka kukata rufaa ya kupinga ushindi wa Mbunge Ester Bulaya wa Chadema katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015, lilitupwa
HATIMAYE WASIRA AAMUA KUWA MFUGA MBUZI..BAADA YA KUTAKA KUMPIGA MWANDISHI WA GAZETI LA MWANANCHI HATIMAYE WASIRA AAMUA KUWA MFUGA MBUZI..BAADA YA KUTAKA KUMPIGA MWANDISHI WA GAZETI LA MWANANCHI Reviewed by The Choice on 12:46:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.