Bado siku 27 Lady Jaydee ‘kuzinduka tena’, aupa jina ujio wake ‘The return of the queen
Ni muda mrefu umepita hatujamsikia msanii wa muziki wa kike mwenye nguvu Tanzania, Lady Jaydee, pengine wewe ni mmoja wa wadau ambao umemisi nyimbo zake nzuri.
Taarifa nzuri yenye faraja ni kwamba, msanii huyo amepanga kurejea kwa kishindo kwenye ‘game’ baada ya siku 27.
Kupitia kurasa zake za kijamii, Jaydee anaposti clip za video za mastaa kadhaa huku wakiwa na vikaratasi vinavyosomeka ‘Lady Jaydee naamka tena
Bado siku 27 Lady Jaydee ‘kuzinduka tena’, aupa jina ujio wake ‘The return of the queen
Reviewed by The Choice
on
3:56:00 PM
Rating:
No comments: