ALI KIBA ADAI YEYE HASHINDANI NA MTU YEYOTE KWENT GAME YA BONGO FLEVA
Staa
wa bongo fleva Ali Kiba amekiri kuwa ushindani uliopo sasa kwenye
muziki wa bongo fleva umemfanya arekebishe vitu kadhaa kwenye muziki
wake hii ni pamoja na kufanya video zenye viwango zaidi.
Licha ya kauli yake hiyo Ali Kiba ameweka wazi kuwa ushindani haupo kabisa kwenye akili yake,yaani yeye hashindani na mtu yeyote yule.
“ushindani umenifanya nifanye marekebisho kwa mfano videos na support..Ushindani upo,ni kitu cha kawaida ila haupo akilini..naamini sishindani na mtu” alifunguka Kiba alipoulizwa anaonaje hali ya ushindani kwenye muziki wa bongo fleva
Licha ya kauli yake hiyo Ali Kiba ameweka wazi kuwa ushindani haupo kabisa kwenye akili yake,yaani yeye hashindani na mtu yeyote yule.
“ushindani umenifanya nifanye marekebisho kwa mfano videos na support..Ushindani upo,ni kitu cha kawaida ila haupo akilini..naamini sishindani na mtu” alifunguka Kiba alipoulizwa anaonaje hali ya ushindani kwenye muziki wa bongo fleva
ALI KIBA ADAI YEYE HASHINDANI NA MTU YEYOTE KWENT GAME YA BONGO FLEVA
Reviewed by The Choice
on
9:38:00 PM
Rating:
No comments: