TASWIRA; KOBE BRAYANT ALIVYOSTAAFU RASMI, JAY Z, DAVID BECKHAM, MASTAA KIBAO WAHUDHU
Hakuna refu lisilokuwa na ncha. Mcheza kikapu maarufu wa Marekani, Kobe Bryant amestaafu.
Nyota
huyo wa LA Lakers amestaafu na kuagwa na mashabiki kibao wakiwemo nyota
wa muziki kama Jay Z, soka wakiongozwa na David Beckham na kikapu
wakiongozwa na Magic Johnson.
Katika
siku ya kuagwa, Kobe aliyecheza kwenye NBA kwa miaka 20 aliingoza
Lakers kushinda kwa pointi 101-96 dhidi ya Utah Jazz huku yeye akifunga
pointi 60 na kuweka rekodi ya aina yake.
TASWIRA; KOBE BRAYANT ALIVYOSTAAFU RASMI, JAY Z, DAVID BECKHAM, MASTAA KIBAO WAHUDHU
Reviewed by The Choice
on
1:03:00 PM
Rating:
No comments: