Aliyekuwa
Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba
amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven,
Mikocheni jijini Dar.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peon
Tanzia: Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT Amatus Liyumba afariki dunia
Reviewed by The Choice
on
11:22:00 PM
Rating: 5
No comments: