Mwili Uliozama na Gari Baharini Jijini Dar es Salaam Wapatikana
Mnamo majira ya saa 10 alfajiri, gari aina ya Hiace iliteleza toka kwenye kivuko na kutumbukia katika bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam.
Gari hiyo ilikuwa na abiria wawili. Mpaka majira ya asubuhi, jeshi la zimamoto na uokoaji lilifanikiwa kuupata mwili mmoja na likaendelea kuutafuta mwili wa pili.
Mwili Uliozama na Gari Baharini Jijini Dar es Salaam Wapatikana
Reviewed by The Choice
on
5:24:00 PM
Rating:

No comments: